BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Sunday, 28 March 2010

Mwandishi wa Blog ya TZ-ONE Ally Muhdin akiwa na Bw. Michuzi

Mpiga picha maarufu nchini Uingereza Bw. Shabani Kawawa akiwa na paparazi mwenzake Bw. Michuzi

Kutoka kulia Bi. Mariamu Mungula, katikati Bi Nora na mdau wa TZA UK wakiwa kwenye mkutano wa kuchagua viongozi wapya jijini London, Uingereza.

Wajumbe wa TZA wakipiga kura kuchagua viongozi wa kukiongoza chama hicho.


Bw. Katega akinyosha mkono kutaka kuchangia hoja ya katiba ya TZA UK

0 comments:

Search This Blog