BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Saturday, 3 April 2010Mwimbaji maarufu nchi Kenya, Amani aliwatumbuiza wapenzi wa muziki jijini London siku ya Ijumaa ya tarehe 2 katika ukumbi wa Ambassador, London. Amani atafanya maonyesho manne nchini Uingereza, atatumbuiza Reading, Bristol na London. Mwanadada huyo alianza shughuli zake za muziki miaka saba iliyopita. Beyonce na Mariah carey ndiyo waliomtia changamoto ya kuanzaa kuimba Kenyan Pop. Nyimbo zake nyingi zinahusu mapenzi na anaimba kwa kutumia lugha ya Kiswahili/English. Ameshatoa album moja inayoitwa "Tamani" yenye nyimbo 10. Album hiyo ina nyimbo inayopendwa sana na mashabiki wa muziki "Missing You My Baby". Amani ameshapata tunzo nyingi ikiwemo tunzo ya best female MTV African Awards.

0 comments:

Search This Blog