BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Wednesday, 30 June 2010

Miss & Mr East Africa Uk 2010

Utawala wa Urban Pulse unapenda kuwaletea exclussive behind the scenes kwa wadau wote wa libenekene kuhusu matayarisho na maandalizi ya Miss & Mr East Africa Uk 2010 yaliyofanyika katika kitongoji cha Edmonton, Ukerewe Jumamosi 26.6.10

Fainali ya kuwania Taji la U miss na U mr East Africa UK litafanyika jumamosi 3rd July 2010 katika ukumbi wa Central Hall,Westminister, London

Wote mnakaribishwa..


0 comments:

Search This Blog