BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Monday, 12 July 2010

HUSTLE by Mkazuzu Ft OrdaineMjue Msanii Mkazuzu wa Kitaa

Mkazuzu ni msanii wa kibongo anaishi hapa ukerewe mjini Kusoma ambae anakuja juu. Hi ni Single yake ya pili inaitwa Hustle akimshirikisha msanii Mrembo Ordaine.
Ngoma hii imetengenezwa ndani ya studio za urban pulse na produzya mkali Young Josh ikiwa ni mojawapo ya soundtrack ya Movie ya £ovely Gamble.

0 comments:

Search This Blog