BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Friday 16 July 2010

Miss & Miss East AFrica UK 2010

Urban Pulse Production inawaletea burudani na matukio yaliojiri ndani ya Michuano ya kumtafuta Miss & MR East Africa UK 2010 yalio fanyika Hapa Ukerewe 3rd July 2010 Mjini London.
Katika kinyang'anyiro hicho binti Randa Shelbly kutoka Eritrea alinyakua kombe la miss east Africa UK wakati mchizani Degnite Abdeta Dauggie ndio alichukua Mr East Africa UK.Wadau karibuni kushuhudia tukio hili la kipekee

0 comments:

Search This Blog