BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Wednesday, 7 July 2010

Waziri B. Membe na Uraia Pacha

Ningependa kuwapatia watanzania wote fursa ya kujua mtanzamo mpya wa serikali ya Tanzania Kutoka kwa Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe kuhusiana na Uraia pacha( Dual Citizenship)
Waziri Membe alisema hayo wakati wa mkutano wa Diaspora uliofanyika hapa Ukerewe 26-27 March 2010.

0 comments:

Search This Blog