BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Thursday, 5 August 2010


Singo CD "Jakaya Kikwete 2010" kutoka kwao "Ngoma Africa Band"
IMESHATUA NCHINI KWA KISHINDO NA NGUVU ZAIDI !!!
PATA KOPI YA CD KWA KWA ANKAL MICHUZI
Hayawi !Hayawi ! Yamekuwa hile CD inayozungumziwa na washabiki wengi kila kona duniani. Sasa imeshatua nchini ,CD hiyo yenye jina "JAKAYA KIKWETE 2010" Kutoka kwao "The Ngoma Africa Band" yenye maskani yake uko Ujerumani,Sasa unaweza kupata kopi za CD hiyo kwa ANKAL Muhidin Issa Michuzi aka Mzee wa Libeneke,kwa simu 0754271266 wa blog ya kimataifa ya jamii.
Pia kwa yeyote yule anayetaka atumiwe mp 3 au kuweka nyimbo hizo katika mlio wa Simu za viganjani, tafadhali usisite kuwasiliana na Ankal Michuzi kwa simu namba 0754271266 CD hiyo yenye mziki mtamu unaosindikiza ujumbe muhimu kwa watanzania zaidi ya milioni 40 sasa CD hiyo ipo nchini na unaweza kupata kopi yake kwa kupiga katika sherehe ,mitaani,katika biashara yako,ndani ya mabasi,harusini,sokoni n.k
hili upate raha na ujumbe uliomo katika CD "Jakaya Kikwete 2010" utunzi wake Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja wa FFU wa Ngoma Africa Band.
pia Jumamosi ya 31-07-2010 saa 4 hasubui Ras Makunja atahojiwa na radio Free Africa ya mwanza
Tafadhali tega sikio.

0 comments:

Search This Blog