BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Monday, 6 September 2010

Mh Balozi Peter Kallaghe Afutarisha UK

Balozi Mpya wa Tanzania nchini Uingereza Mh Peter Kallaghe aliwaalika Watanzania na kuftari pamoja nyumbani kwake jumamosi tarehe 04.09.10. Baada ya kuftari Mh Kallaghe alijitambulisha na kuwashukuru Watanzania wote waliofika nyumbani kwake. Pia aliahidi kuwa karibu na Watanzania.
Urban Pulse Creative Inawaletea video ya tukio hili. Bonyeza link hapo chini kuona video

0 comments:

Search This Blog