BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Saturday, 18 September 2010

TANGAZO LA MSIBA
Tunasikitiza kutangaza kifo cha Pr. Joseph Shem Onyango Kilichotokea jana mchana Kihonda, Morogoro kutokana na ajali ya barabarani. Mchungaji alikuwa akielekea kwenye kituo cha basi tayari kwa safari ya kwenda dar kushiriki katika sabato ya wageni jumamosi tarehe 18.9.10 kwenye kanisa la Tegeta. Marehemu alizaliwa 1936 na amekuwa akililitumika kanisa la waadeventista wasabato kwa zaidi ya miaka 40, Pr. atakumbukwa sana na watu wengi africa mashariki kutokana na huduma zake kwenye kanisa za kaya na familia pamoja na sera za ndoa.
Mazishi yanategemewa kufanyika alhamisi mji wa morogoro.
Asanteni

0 comments:

Search This Blog