BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Wednesday, 20 October 2010

Tawa

Wakina mama wa kitanzania UK walipata mwaliko wa chakula cha mchana na fursa ya kufahamiana na mlezi wa chama chao cha TAWA Mama Balozi i.e. Mrs Joyce Kallaghe nyumbani kwake ambapo aliwakaribisha na kujitambulisha kwao na pia kuwapatia fursa kila mmoja wao kujitambulisha kitu ambacho wakina mama wote walikifurahia sana na wengi kushukuru kupewa nafasi hiyo maana ilikuwa ni mara ya kwanza kwao kufanya hivyo. Pamoja na hayo balozi mpya wa Tanzania UK Mh. Peter Kalaghe alipewa nafasi ya kujitambilisha na kuwakaribisha wakina mama hao nyumbani kwake.

0 comments:

Search This Blog