BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Sunday, 22 May 2011

Graduation ya Shemeji Dada "Anita Mungai-Rumadha

Shemeji Da' Anita Mungani-Rumadha Kachukua Nondozzzzzzz!! huko "University of North Texas" ,Amerika aka nchi ya herufi 3 au USA, Dada Anita Mungai-Rumadha aka Shemeji mke wa Kaka sensei Rumadha fundi,Juzi alijiweka rekodi ya kujiunga na akinana Dada Mashujaa katika elimu kwa kulamba NONDOZZ!! ya shahada ya " "Social Work" katika mahafali yaliyo fanyika chuo kikuu cha North Texas,nchini Marekani. Nderemo nderemo! Shamra Shamra na Shangwe zilifunika katika sherehe hizo ,zikiongozwa na Sensei Rumadha Fundi (mume wa Dada Anita Mungai) zikisindikizwa kwa mayoe na ndugu,maarafiki wengi waliokuapo ukumbini...


Anita na professor wake na rafiki na jamaa chuoni siku ya kupokea shahada

Rafiki na jamaa chuoni siku ya kupokea shahadaAnita na Cousin wake Kitova Mungai

0 comments:

Search This Blog