BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Saturday 23 July 2011

MSIBA

TANZIA READING UK



Tunasikitika kuwatangazia kifo cha

Machira NYITAMBE



Kilichotokea mchana leo huko MUSOMA-TANZANIA

Mazishi yatafanyika huko Kirongwe, Shirati, katika mkoa wa Mara.

Marehemu ni baba mzazi wa:


Mrs Veronica Dibogo Nyitambe

Mrs Beatrice Nyitambe(Baba Mdogo)

Mr Soni Nyitambe (Baba Mdogo) , ambao wote wapo hapa Uingereza.

Msiba upo

14 Rothwell Walk

Caversham

Reading

RG4 5DB

Kwa mawasiliano zaidi tumia simu zifuatazo:

Bernard Chisumo

Mob: (0) 787 612 6862

Home: (0) 118 954 5890


0 comments:

Search This Blog