BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Wednesday 7 December 2011

URBAN PULSE WAKUTANA NA MH CHEYO


Urban Pulse Creative walipata fursa ya kukutana na Mbunge wa Bariadi mashariki Mh John Mamose Cheyo katika Ubalozi wetu wa Tanzania mjini London hapa nchini Uingereza alipokuja kukutana na Mh Balozi Peter Kallaghe. Vilevile Baraka Baraka kutoka Urban Pulse alifanya nae mahojiano maalum na kujadili mambo kadhaa kama dhumuni ya ziara yake, mchakato wa Katiba mpya, miaka 50 ya uhuru wa Tanzania na mipango ya maendeleo katika jimbo lake na mengineyo

Mahojiano hayo yatarushwa hivi karibuni, usikose kuangalia

Mh. Cheyo akisign kitabu cha wageni

Mh. Cheyo na Baraka Baraka baada ya kumaliza mahojiano

Mh. Cheyo, Balozi Kallaghe na Frank wakibadilishana mawazo

Mh. Cheyo na Balozi Kallaghe

0 comments:

Search This Blog