Mpiga picha Maarufu nchini Uingereza Bw. Shabani Kawawa ameanzisha blog (tovuti) yake inayoitwa kawawauk, www.kawawauk.blogspot.com. Hivyo anawaomba wanablog (tovuti) wote kutembelea blog (tovuti) yake ili wapate kunufaika na kazi zake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment