BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Wednesday, 12 May 2010

Sherehe UjerumaniPichani: Sherehe za kusherekea FIFA world Cup zilizofanyika uko Munich,Ujerumani Usiku wa Jumamosi ya 8-05-2010 na kuudhuriwa na Manaibu mabalozi wa Tanzania na Afrika Kusini nchini Ujerumani,kulikuwa na fan ya kila aina (pichani) Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa akikabidhi CD ya "Mama Kimwaga" kwa naibu balozi Mr.Martin Ngundze!!
(picha kny Malumbo Jr)Pichani: Mwenye Miwani Ras makunja kamanda wa Ngoma Africa band aka FFU, katikati mwenye kofia nyeupe Afande Chris-B(Mshambuliaji wa solo) wa FF, pembeni ni MR.Reginald Temu mwenyekiti wa chama cha urafiki kati ya wajerumani na watanzania. Akiwakaraibisha mjini Munich wageni wa hajabu !FFU wa Ngoma Africa ambao hawana uruma hata kiduchu, washambuliapo jukwaani.bendi hiyo ya Ngoma Africa ilifanikiwa kuwatia kiwewe washabiki mjini munich usiku wa 8-05-katika shamra shamra za kusherekea kombe la soka la dunia Afrika Kusini 2010, Sherehe hizo ziliudhuriwa na wengi na wageni wa heshima walikuwa manaibu mabalozi wa tanzania na Afrika Kusini nchini Ujerumani.Naibu Balozi wa Tanzania uko Ujeruamani Mhe.Bw.Ali Siwa na Naibu Balozi wa Afrika Kusini nchini humo Mr.Martin Ngudze wasikilze ngoma Africa band hapa http://www.myspace.com/thengomaafricaChris- B,mshambuliaji wa mlio mikali ya nyuzi wa Kikosi cha The Ngoma Africa Band aka FFU,akiwa na gitaa lake (bunduki) kaziniPichani:Naibu balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe.Ali Siwa akisakata mziki mkali
wa "Ngoma Africa Band" katika sherehe mjini Munich,ujerumani,zilizofanyika usiku wa jumamosi
8-05-2010 ambapo bendi ya Ngoma Africa iliwapagaisha hakili washabiki
Pichani: kamanda wa Ngoma Africa band Ebrahim Makunja aka Ras Makunja,akikiongoza kikosi chake jukwaani uko Munich katika shamra shamra usiku wa Jumamosi 8-05-2010,
ambako washabiki wa mziki wa mji wa Munich na miji jirani walikubali kuwa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ni mzimu wa mziki(picha kny Malumbo.Jr)

0 comments:

Search This Blog