BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Monday, 3 May 2010


Mwenyekiti wa Tawi la Chama cha Mapinduzi Uingereza Ndugu Maina Owino akiongoza kikako Cha Halmashauri Kuu ya Tawi kilichofanyika jijini London siku ya Jumamosi (Mei 1, 2010). Mojawapo ya agenda za kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Tawi ilikuwa ni pamoja na mikakati ya namna ambayo Wanachama na Wapenzi wa CCM Uingereza wataweza kushiriki katika kuchangia gharama za kampeni katika uchaguzi mkuu ujao. Halmashauri Kuu ya Tawi iliunda kamati maalum kuwahamasisha Wana CCM kuchangia Chama itakayoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Shina la Northampton Ndugu Hassan Hafidh.

0 comments:

Search This Blog