BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Friday, 30 July 2010

Tamasha la Kuchangia Utafiti wa Cancer Mjini Kusoma


Urban Pulse Creative inapenda kuwataarifu wadau wote hususani hapa Ukerewe kuwa kutakuwa na tamasha maalum la kuchangia utafiti wa Cancer UK Jumamosi tarehe 14.8.10 hapa hapa mjini kusoma kuanzia 19.30-22.00. Kutakuwepo na makamuzi ya nguvu kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwepo Mish ze fyah sis anaetamba na kibao chake cha freedom, beautiful Ordain wote kutoka Urban Pulse na Safi soundz. Msanii maalum ambae atakae kuwa headliner Ni LADY NY. Mbali na hapo pia kutakuwa na mchakato wa bahati nasibu na zawadi kemkem zitatolewa kwa washindi.

Address ni 21 Southstreet,

Reading. RG1 4QU

Kiingilio £6.00 viti vya kawaida na £12.00 kwa VIP’S

Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana Nazeer Zulqarnain on 07925242050 au tembelea link katika kitabu chetu cha uso ww.facebook.com/beenazevent

Wote mnakaribishwa,

0 comments:

Search This Blog