BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Saturday, 21 August 2010

Cancer Research Uk 14.8.10

Mgeni rasmi alikuwa Msanii Mahiri Lady Ny ikiwa ni kusaidia kufanya harambee yakusaidia kuchangia Cancer Reserch UK kwa pamoja. Pia wasanii wa Urban Pulse walikuwepo na wengine kutoka sehemu mbalimbali walijitolea kujumuika katika tamasha hilo.

Hivyo basi kwa unyenyekevu mkubwa, heshima na taadhima zote utawala wa Urban Pulse unawaomba na kuwasii wale wote ambao Mwenyezi Mungu Kawabariki na kuwagusa Kuchangia kiasi chochote kupitia tovuti yao halisi ya Cancer Research Uk www.cancerresearchuk.org.
Wote Mbarikiwe.

0 comments:

Search This Blog