BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Wednesday 17 November 2010

DIAMOND AONGEA NA WAPENZI WAKE

TANGAZO MAALUM

Utawala na wafanyakazi wa URBAN PULSE wakishirikiana na Tanzania Community Europe wana penda kuwatangazia washabiki wte wa Diamond UK na watu wote wanao support kampeni ya vita na Malaria ya kuwa kunabadiliko ya lazima yaloyotokea kuhusu show ya Diamond ya tarehe 27 November Birmingham. Kwamba kutokana na idadi kubwa ya watu wanaotegemea kujitokeza siku hiyo imebidi ukumbi ubadilishwe ili uweze kukidhi idadi yao,Kwa hiyo jambo hili limepelekea ulazimu wa kubadilisha kumbi kwenda

27 November 2010
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA


Mabadiliko haya ni ya lazima na tunaomba radhi kwa ufumbufu wowote utakojitokeza

WOTE MNAKARIBISHWA

Utawala
URBAN PULSE

0 comments:

Search This Blog