Ndugu mtanzania,
jumuiya ya watanzania (TANZ) UK inawaalika wote kwenye sherehe za 49 za uhuru wetu zitakazofanyika tarehe 11-12-2010. Siku hiyo tutakuwa na shughuli nyingi kuanzia mchana ikiwa ni pamoja na Professional Networking Forum; kumkaribisha balozi wetu mpya mh. Peter Kalaghe; ufunguzi rasmi wa website ya jumuiya; dinner na muziki na mambo mengine.
Tafadhali mtumie mwenzako ujumbe huu, mahudhurio yetu wote ni mafanikio kwa wote. Njoo ujionee na kujifunza mengi. Kwa maelezo zaidi fungua attachment niliyoambatanisha na email hii.
Wenu
G Mboya - Director of Communication TANZ-UK
Friday, 26 November 2010
(TANZ) UK
Posted by Ally Muhdin at 21:01
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment