Assalaam alaykum, hafla ya matokeo ya mashindano ya Qur'an ya mwaka 2010 (1431AH), itafanyika Alhamisi ya tareha 3/2/2011, East Ham, Town Hall, London,E6 2RP, kuanzia saa 6.30pm - 8pm. Hafla hii inafanyika kuwakilisha matangazo ya matokeo ambayo hayakupatikana kutokana na sababu ambazo hazikuweza kuzuilika. Matokeo ya Washindi yatatangazwa kwenye mtandao wa Salama Trust baada ya hafla hiyo, Inshallah. Pls forward. Jazaakallah. www.salamatrust.com
Saturday, 22 January 2011
Mashindano ya Qur'an
Posted by Ally Muhdin at 18:10
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment