Familia ya J.s.Makunja na Bi.Moza Mpili, Inawatarifu ndugu,Jamaa na marafiki wote kuwa Shughuli ya hitma na arobaini ya Marehem Hassan Jumanne Makunja, Itafanyika tarehe 29.01.2011 kuhamkia 30.01.2011 huko mjini utete/Rufiji kwa mama wa marehem.Marehem Hassan Jumanne Makunja Amezaliwa 4-03-1964 amefariki 19-Dec-2010 Taarifa zaidi wasiliana namba hii 0787532929 au 0718893419, Bi.Ummy Makunja 0784617961 Bi.Zaituni Hamisi, 082249496 Saleh Makunja.
Saturday, 22 January 2011
Hitma
Posted by Ally Muhdin at 18:02
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment