BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Tuesday, 21 June 2011

Making Video

Berry Black akiwa katika ziara yake nchini Uingereza. The King Of Zenji Flava Berry Black alipata nafasi ya kushirikiana kikazi na kundi moja kali la M2S lenye makao makuu yake jijina London Uingereza, linaloundwa na The 5 Star General Juny Man, Babiy Cee na Chemical. Na hii ni baadhi tu ya kazi zilizofanyika leo. The making of UMEKWENDA chini ya producer Ally Muhdin wa jijini London, Uingereza.
0 comments:

Search This Blog