BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Thursday 23 June 2011

TANGAZO LA MSIBA LEICESTER UINGEREZA...!!!

Ndugu, Jamaa, na Marafiki, Watanzania wote;
Kwa masikitiko makubwa tunawataarifu ya kwamba, tumepokea habari za msiba wa mwenzetu EDGAR KILEKE (KAKA DICK). Msiba umetokea leo huko Leicester Uingereza. Marehemu Edgar amefariki baada ya kuugua cancer ya Ini.

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kueleke anyumbani kwa mazishi inafanyika. Tunawaomba wote, kwa moyo wa upendo na utoaji, tusaidiane ili tukamilishe maandalizi haya na mwenzetu ili aweze kwenda kupumzishwa kwenye makao yake ya milele huko nyumbani Tanzania. Tunatanguliza shukurani za dhati kwa michango yenu. Wanaoweza kuwatembelea wafiwa na kutoa pole mnakaribishwa na msiba upo kwenye address hapo chini:

89 Stevenson Drive
LE3 9AD
Leicester


Kwa maelezo ya ziada wasiliana na;
Asaa Ali 07951644936

au

Fauzia Musa 07943962628

Kama hutaweza kufika Leicester, unaweza kutuma mchango wako kwa:
A A KAKOZI
Account Number 85065992
Sort Code: 09-01-27
Bank: Santander


Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe.


Asanteni.

0 comments:

Search This Blog