BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Tuesday 29 November 2011

Dunia Daraja- Twanga Pepeta



Baada ya Kuadhimisha sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na uzinduzi wa albamu mpya ya 11 inayoitwa Dunia Daraja Bendi ya Twanga Pepeta Inakuletea video yao mpya ya single yao inayoitwa Dunia Daraja
Kutokana na maombi mengi ya washabiki Twanga Pepeta itafanya Show ya pili siku ijumaa Tarehe 2 Desemba 2011 katika mji wa Milton Keynes kwenye ukumbi wa Golden Lounge, Unit 35 Barton Road, Bletchley Milton Keynes. MK2 3UH
Asanteni,


0 comments:

Search This Blog