BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Tuesday, 29 November 2011

TAARIFA YA PAMOJA YA SERIKALI NA CHADEMA BAADA YA MKUTANO WA SIKU MBILI ULIOMALIZIKA LEO IKULU, PAMOJA NA PICHA ZA LEO

Mkutano ambao leo umedumu kwa takriban masaa matano ukiendelea


Gari la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe na lingine lililobeba wajumbe wa uongozi wa CHADEMA yakiondoka IKULU baada ya mkutano na Rais Jakaya Kikwete leo

 Ujumbe wa Uongozi wa CHADEMA ukipitia kwa makini taarifa ya pamoja kati ya serikali na chama hicho kabla ya kukisambaza kwenye vyombo vya habari ikiwa ni hitimisho la mkutano wao baada ya mazungumzo ya siku mbili Ikulu jijini Dar es salaam.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan  wakipitia taarifa hiyo ya pamoja

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe (kati) akiwa na maafisa wa serikali wakipitia taarifa hiyo

Wajumbe upande wa Serikali

Viongozi wa CHADEMA wakiwasili Ikulu
Rais Kikwete akijadiliana na Profesa Mwesiga Baregu (kulia), Freeman Mbowe na Mh Bernard Membe wakati wa mapumziko mafupi

0 comments:

Search This Blog