BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Saturday 26 November 2011

KHADIJA ALAMBA NONDOZ

Khadija Ngodah mwanadada mtanzania aisihe mjini Reading Uingereza amelamba nondoz kutoka chuo kikuu cha West London kilicho kuwa kinajulikana kama Thames Valley University (TVU) na kuibuka na Bachelors of Art (Hons) in Business with Human Resources Management. Tunapenda kumpongeza sana ndugu yetu huyu kwa juhudi na mafanikio hayo na pia kuwatia moyo wanawake wengine wote maana 'tunaweza'!

Asanteni sana


0 comments:

Search This Blog