BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Sunday 6 November 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOTEMBELEA KITENGO CHA MAGONJWA YA FIGO MUHIMBILI

Picha na Ikulu
Rais Jakaya Kikwete akiongea na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni

Rais Jakaya Kikwete akimsalimu na kumpa pole mtoto Ali Abdul kutoka Rufiji, Mkoa wa Pwani, aliyefanyiwa upasuaji wa kuzibua mshipa wa damu ulioziba  aliofanyiwa na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni

0 comments:

Search This Blog