BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Friday, 16 April 2010

Ashikiliwa na Polisi kwa kosa la Kumtisha Cherly Cole
Kijana mmoja wa kiume alishikiliwa na polisi kwaajili ya uchunguzi kwa kumtupia maneno machafu ya kumtisha Cherly Cole.


Polisi walisema kuwa vitisho na maneno machafu yalitolewa na kijana huyo baada ya kuacha ujumbe kwenye simu ya mkononi ya jaji wa kipindi cha X Factor Dermont O'Leary's mwezi uliopita.


Kijana huyo asiyepungua chini ya umri wa miaka kumi na saba, anatokea Tunbridge Wells, Kent. Alishikiliwa na polisi kwaajili ya kuhojiwa lakini aliachiliwa, Polisi bado wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.


0 comments:

Search This Blog