BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Welcome - Karibu

Wedding Photography and Video

Tuesday, 13 April 2010

Marehemu Seifu NassorKwaniaba ya familia Alhaji Hussein Nandule napenda kutoa pole kwa familia ya Nassor Bin Jabry kwa kuondokewa na kipenzi chao Marehemu Seif Nassor aliyezikwa leo tarehe 13 mwezi wa April katika makaburi ya kisutu. Marehemu alifariki usiku wa jana. Mola amuweke pahala pema peponi. AMIN

0 comments:

Search This Blog